Hoyce Temu akielekea kutunukiwa Stashahada yake.
Afisa
Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999
na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akisubiri
kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya
Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations)
katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe
akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa
Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce
Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa
(Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika
Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na rafiki yake.
Hoyce Temu akiwa na mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mdau Assah Mwambene.
Hoyce Temu na Mdau Sixtus Mapunda akiwa na familia yake.
Hoyce
Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Dada
zake Mrs. Shose Minja, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja
na Mama yake Mdogo Bi. Edith Max
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe katika Picha ya Pamoja na wahitimu Stashahada
ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate
Diploma in Management of Foreign Relations). Wa tatu kutoka kushoto
waliosimama ni Hoyce Temu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)