BREAKING NEEEEWZ::TETESI ZA REGIA MTEMA AFARIKI DUNIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEEEEWZ::TETESI ZA REGIA MTEMA AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Kilombero (Chadema), Regia Mtema,akiwa kwenye moja ya mikutano yake enzi za uhai wake
 ...................................................
Habari zilizoufikia Mtanadao huu wa LUKAZA BLOG, muda huu zinasema kuwa Mbunge wa Viti Maalu kupitia tiketi ya Chadema, Regia Mtema, amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mchana huu eneo la Ruvu Darajani.
Aidha imeelezwa kuwa Mbunge huyo wa Viti Maalum umemkuta umauti wakati akielekea kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake kama zawadi. Habari kamili ziwatajia baada ya kukamilisha uchunguzi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages