Dr. W. Slaa akihutumbia mamia ya wakazi wa mji mdogo Mbalizi Mbeya jana jioni |
Huku mvua ikiendelea kunyesha Dr. Slaa aliendelea kuwahutubia mamia ya wakazi wa Mbalizi |
Baadhi ya mabango waliyobeba wanachama wa chadema Mbalizi wakimkaribisha Dr. Slaa kiwanjani hapo |
Mamia ya wakazi wa mji mdogo wa Mbalizi wakimsikiliza Dr. Slaa huku mvua ikiendelea kuwanyeshea.Picha na Mbeya Yetu Blog |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)