Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia taarab Rasmi inayocharazwa na Kikundi
cha Culture Muzical Club katika Ukumbi wa Salama Bwawani usiku huu mjini Zanzibar katika
kusheherekea Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(wa kwanza kulia) Mama
Balozi Seif Ali Iddi,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mahgaribi Abdalla Mwinyi
Khamis na (kushoto) Waziri wa habari Utamaduni na Michezo Abdilah
Jihadi Hassan.
Wasanii wa kikundi cha muziki cha Culture Muzical Club
wakicharaza alla katika hafla maalum ya kusheherekea miaka 48 ya
Mapinduzi Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani mjini Zanzibar usIku huu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)