Azim
Dewji,mfanyabiashara maarufu nchini amepingana na watu wengi na wabunge
wa Dar kwa kusema kuwa hoja yao kumshambulia Magufuli ni kujitafutia tu
umaarufu na kuwataka kwanza waseme kwa nini wamejipandishi posho za
vikao bungeni.Ameongea na vyombo vya habari leo na kuwaomba wabunge
kufanya kazi zao majimboni mwao badala ya kuingilia majukumu ya
wengine.Amesema hata ombaomba akipewa shilingi 100 siku hizi anazikataa
iweje wabunge walalamikie nyongeza ya shilingi mia tu?Picha kwa hisani ya Michuziblog
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)