
Rais
Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa ziara ya Rais Mstaafu wa
Marekani, George W Bushi, walipotembelea katika Hospitali ya Ocean Road
katika Kitengo cha Kituo cha Utafiti wa Kansa leo. Picha zote na Ikulu
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Marekani, George W Bush, wakati wa ziara hiyo.
Picha ya pamoja ndani ya Hospitali hiyo wakati wa Ziara.
Rais Jakaya Kikwete na George Bush, wakitembelea katika Wodi ya wagonjwa Hospitalini hapo.








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)