WENYE VITUO VYA KUUZIA MAFUTA YA MAGARI WAGOMA USIKU WA JANA JIJINI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WENYE VITUO VYA KUUZIA MAFUTA YA MAGARI WAGOMA USIKU WA JANA JIJINI MBEYA

Baadhi ya magari yakiwa yamepanga foleni ilikupata angalau hata litamoja ya mafuta aina ya petrol kwani vituo karibia vyote ya jijini mbeya vimegoma kuuza mafuta kisa kushuka kwa bei ya mafuta aina ya petrol toka sh 2200 kushuka mpaka sh 1989
Bei ya sasa ya mafuta
Kwakweli hali ni tete kama kawaida walanguzi hawakosi lita moja ya petrol ni sh 3000.Picha Na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages