Home
Unlabelled
Rais Dk. Shein ashiriki katika mazishi ya marehemu Kanali Nassor Waziri Mageta
Rais Dk. Shein ashiriki katika mazishi ya marehemu Kanali Nassor Waziri Mageta
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) pamoja na Viongozi wengine
wakiusalia mwili wa Marehemu Kanal Nassor Waziri Mageta,aliyekuwa
Mkuu wa Kikosi cha Valantia,katika msikiti masjid Twariq Bububu nje wa
mji wa Zanzibar, aliyefariki jana na kuzikwa Kijiji kwao Mkanyageni
Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya Magharibi
Unguja wakilibeba jeneza la Marehemu Kanal Nassor Waziri
Mageta,aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia,aliyefariki jana na
kuzikwa Kijiji kwao Mkanyageni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Askari wa Vikosi vya SMZ,wakilibeba Jeneza lenye mwili wa
Marehemu Kanal Nassor Waziri Mageta,aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha
Valantia,aliyezikwa jana katika kijiji cha mkanyageni Wilaya ya
Magharibi mkoa wa mjini magharibi Unguja.
Askari wa Vikosi vya SMZ wakiondoa Nguo alizozitumia
marehemu Kanali Nassor Waziri Mageta,aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha
Valantia, aliyefariki jana na kuzikwa Kijiji kwao Mkanyageni Wilaya
ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk Ali Mohamed Shein,( katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa
katika maziko ya Marehemu Kanal Nassor Waziri Mageta,aliyekuwa Mkuu
wa Kikosi cha Valantia, aliyefariki jana na kuzikwa Kijiji kwao
Mkanyageni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akitia udongo katika kaburi la
Marehemu Kanal Nassor Waziri Mageta,aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha
Valantia,aliyefariki leo na kuzikwa Kijiji kwao Mkanyageni Wilaya ya
Magharibi Unguja.
Askari wa Vikosi vya SMZ wakitoa salamu ya hesha katika
kaburi la marehemu Kanali Nassor Waziri Mageta,aliyekuwa Mkuu wa
Kikosi cha Valantia, aliyefariki jana na kuzikwa Kijiji kwao
Mkanyageni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Picha na Ramadhan Othman IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)
Lukaza Blog is a resources blog providing high quality articles with premium topics and well drafted. The main mission of Lukaza Blog is to provide the best quality articles which are relevance, original, truth and education materials designed and perfectlly to deliver best result for your knowledge and understanding of new things.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua...
Contact Form
About Me
Hello, my name is Josephat Lukaza. I've 12 years in Blogging and An Award Winner for the BEST Political Blog in African Bloggers Awards in 2015 Learn More →
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)