MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF) WATOA SH. MIL 5 KUSAIDIA WATOTO WALIOATHIRIKA KWA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF) WATOA SH. MIL 5 KUSAIDIA WATOTO WALIOATHIRIKA KWA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kifundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Frank Lekey (katikati) akikabidhi kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eliya Ntandu, hundi yenye thamani ya sh. mil.5, ikiwa ni msaada wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa watoto walioathirika na mafuriko Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tiba na Masuala ya Kifundi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Frank Lekey (katikati) akikabidhi kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Eliya Ntandu, hundi yenye thamani ya sh. mil.5, ikiwa ni msaada wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa watoto walioathirika na mafuriko Dar es Salaam. Anayeshuhudia hafla hiyo iliyofanyika, Dar es Salaam leo, ni Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages