Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi kombe Mkurugenzi wa Mahusiano na Sheria
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steven Kilindo wakati wa hafla ya
utoaji Tuzo za Rais za Mwaka 2011 za Mzalishaji Bora kwa wanachama wa
Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI). Hafla hiyo ilifanyika
mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Maofisa
wa kampuni ya Bia Tanzania wakiwa katika picha ya Pamoja na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, baada ya kukabidhiwa vikombe kwa kushinda Tuzo za
Rais za Mwaka 2011 za Mzalishaji Bora kwa wanachama wa Shirikisho la
wenye Viwanda Tanzania (CTI).
Maofisa
wa kampuni ya Bia Tanzania wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya
kukabidhiwa kombe kwa kushinda Tuzo za Rais za Mwaka 2011 za Mzalishaji
Bora kwa wanachama wa Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI).
Meneja
Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Editha Mushi (shoto) akiwa na Meneja wa Mambo ya Nje wa kampuni hiyo,
Emma Oriyo huku wakiwa na kombe lao.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)