MKUU WA MKOA WA RUKWA AHUDHURIA MAHAFALI YA KWANZA ELIMU YA AWALI CHUO CHA UALIMU RUKWA, AZINDUA UMEME UNAOTUMIA NISHATI YA UPEPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MKOA WA RUKWA AHUDHURIA MAHAFALI YA KWANZA ELIMU YA AWALI CHUO CHA UALIMU RUKWA, AZINDUA UMEME UNAOTUMIA NISHATI YA UPEPO


Risala ya wahitimu kwa Mgeni rasmi. Kilio chao kikubwa ilikuwa ni ajira juu yao kuondoa tatizo la uhaba wa waalimu nchini.
Mgeni rasmi alikabidhi pia vyeti kwa wahitimu. Jumla ya wahitimu 109 wamehitimu mafunzo ya Ualimu wa Elimu ya Awali katika Chuo cha Ualimu Rukwa. Chuo cha Ualimu Rukwa kinatoa mafunzo ya ualimu katika ngazi ya Elimu ya Awali, Grade A na Certificate. Dira ya Chuo hicho ni kuwa Chuo Kikuu siku za usoni.
Sehemu ya mtambo huo wa kuzalishia umeme. Mtambo huu una uwezo wa kuzalisha umeme wenye kilowatts tatu (3) 
Mradi huu wa umeme utatumika katika chuo hicho cha ualimu kwa shughuli mbalimbali ikiwemo chumba cha kompyuta, mabwenini na madarasani. Mkuu huyo wa Mkoa alifarijika na kutoa ushauri kwa wajasiriamali kuonyesha uwezo wao kwa kubuni miradi mbalimbali ambayo ina manufaa ya moja kwa moja kwa jamii.
Kwa Picha Na Habari Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages