Bondia
Mada Maugo (kulia) akimsukumia konde zito mpinzani wake Seleman Said,
wakati wa pambano la la raundi 8, lililofanyika jana usiku kwenye Ukumbi
wa Mzalendo Pub, ambapo katika pambano hilo Mada alishinda kwa KO
katika raundi ya tatu ya mchezo. Picha na Rajab Mhamila
Mwamuzi
wa mchezo huo, akimhesabia bondia, Selemani Saidi, Baada ya kupokea
kichapo na kuanguka katika raundi ya tatu, ambapo alishindwa kuinguka na
mchezo huo kumalizika katika raundi hiyo.
Wanenguaji wa Bendi ya Mapacha wa3 wakishambulia jukwaa wakatwajibika wakati ma mi wakitoa burudani ya kusindikiza pambano hilo jana. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)