Waumini wa dini ya Kiislamu wakifuatilia kwa makini sehemu ya matukio ya uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuanzishwa kwa Televisheni ya Kiislamu ya Iman (Iman Tv) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waumini wa dini ya Kiislamu wakifuatilia kwa makini sehemu ya matukio ya uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuanzishwa kwa Televisheni ya Kiislamu ya Iman (Iman Tv)

Waumini wa dini ya Kiislamu wakifuatilia kwa makini sehemu ya matukio ya uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuanzishwa kwa Televisheni ya Kiislamu ya Iman (Iman Tv), katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. (Na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages