Waombolezaji kwenye msiba wa marehemu Andy Swebe, Sinza jijini Dar. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waombolezaji kwenye msiba wa marehemu Andy Swebe, Sinza jijini Dar.


 Mkongwe Juma Ubao "King Makousa" akicharaza gitaa kwenye msiba wa Andy Swebe usiku wa kuamkia leo nyumbani kwa marehemu Sinza, jijini Dar es salaam, ikiwa ni kumkumbuka mwenzao aliyewatoka ghafla. Ratiba ya maziko inatarajiwa kutolewa leo nasi tutawafahamisha mara tutapoipata.

 Maestro Kikumbi Mwanza Mpango "King Kikii" akiomboleza kwa kuimba nyimbo za Andy Swebe.

Mafumu Bilali "Bombenga", ambaye alikuwa mshirika na rafiki wa karibu wa marehemu akirekebisha sound.

Sehemu ya umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa msibani. Picha na Richard Maabadi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages