AIRTEL TANZANIA PAMOJA NA WASANII WA AIRTEL BONGO 50 WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO JIJINI DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AIRTEL TANZANIA PAMOJA NA WASANII WA AIRTEL BONGO 50 WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO JIJINI DAR LEO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSdiHN08JYrfwYlmYOBKLickqkY7UDyCDCIPHGJaQuqDpYko9AMcgNmy0cS-e-H7FMbsrsr9AO5k_msGNDVpCyZAlhHegNvvIaNW-VpceY8oX528GV4vaSXzj7BHZkSTfhJ2JQLqBBf9k/s1600/DSC_3011.jpg 
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Flava’ wa Kundi la Wanaume Halisi wakiongozwa na mkali Juma Nature na wakikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar es salaam waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0Cu2MzuUN6iBng2RsqTls2e66ziLpdCavwjBIiZPhwXZMT5KA5-nwLH1mgsfCF2ndGK9VX9UIhkHqKWk5qfUCNm855oRvCjKk3IJfy4_M0EF2vpbvTk058Pwdl_3_FdmmbKfBV-8swto/s1600/DSC_3122.jpg
Kiongozi wa Bendi ya Exta Bongo,Ally Choki akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7V25kUJ5l1VS52VAaEKsUUW1FcK7E1kcZnPB5Aq_rZg3kUbmzgfBMa1X-FShZtKzjKIL6pa1-D00J6hidZCpBhHSdeqwGyVOHnnvve_bRE1Q43ZLR5wRfLUSWmwXi0GY4PdmYbB0Aw9jF/s1600/AIRTEL+WAKITOA+POLE.jpg
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akizungumza na Waandishi wa habari wakati kampuni Airtel ambayo ilikuwa imejumuka pamoja na wasanii wa Muziki nchini kwenda kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni,jijini Dar es Salaam
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTs-i-dKH1gIsVjY4UvALceFr8jELGPuLAKBDrC2XMMPiv9PMP3kFGmxyG20WYAYvULx0RrrjYeFp4hHDn80B6dSvWoOnAtzVNG3gBCXv7OCuCTunYcABOGyy_ST0BLID7d3TyiFevf-qM/s1600/DSC_3157.jpg
Mtayarishaji wa Muziki (Producer) wa Bongo Flava mkongwe P Funk Majani akikabidhi sehemu ya msaada pamoja na umoja wa wasanii wa Airtel Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Jordan Rugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuhBi_R07FQt6DLwi24cU1ol4q_Lt-gClEIOy8gTvmuD-OiLMSPqPmEzQ5x7inFiLEiXo4S_sSjK2RaxrPiWf1I3dE0vJAoRXOKMGzDXbH_tcGieUPEjpG5D3jsq_jI7um8EZ_vGKQOsg/s1600/DSC_3043.jpg
Ofisa Rasilimalii Watu wa Airtel aliyeongozana na wafanyakazi wengine wa Airtel na wasanii muziki wa Bongo Flava,Doris Kibasa akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Jordan Rugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-Picha Kwa HIsani ya Mtaa Kwa Mtaa Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages