Wananchi wa Zanzibar Waombwa Kushiriki Dua Maalum ya Mkesha Wa Kuliombea Taifa la Zanziba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wananchi wa Zanzibar Waombwa Kushiriki Dua Maalum ya Mkesha Wa Kuliombea Taifa la Zanziba

Mratibu wa Mkesha wa kuliombea Taifa, Allen Mbaga kulia akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maandalizi ya Mkesha huo katika ukumbi wa Habari Maelezo Zanzibar, Raha Leo kuliani kwake ni viongozi mbali mbali wa Kamati ya Mkesha huo kutoka makanisa mbali mbali Zanzibar.Picha  na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages