Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Afungua Mkutano wa Baraza Kuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Afungua Mkutano wa Baraza Kuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, AKIFUNGUWA Mkutano wa Baraza Kuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja,uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi za CCM Jimbo la Kitote Kinduni
Mjumbe wa Baraza Kuu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja,Subira Mohamed,akitowa shukrani kwa niaba ya wajumbe wazeka baada kufunguliwa kwa Mkutano wao.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakimsikiliza Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akifunguwa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Jimbo la Kitope Kinduni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages