Mvua Yaharibu Barabara Za Mwanagati,Kitunda,Jijini Dar es salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mvua Yaharibu Barabara Za Mwanagati,Kitunda,Jijini Dar es salaam

Sema wakuu,

Natumai ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na libeneke.
Wakuu, wakazi wa Mwanagati, Kitunda, Dar es salaam wanalia na barabara zao baada ya mvua iliyopita kuweza kutafuna njia zote na kubakia vipande na kupelekea magari kupita moja moja huku upande mwingine ikisubiria lipite jingine na kufanya msongamano mkubwa. Tafadhali wasaidieni wananchi hawa ili waweze kusikilizwa na kusaidiwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages