Mkazi
wa Jangwani bondeni, Dar es Salaam, Mohamed Zuberi akilalamika mbele ya
wanahabari jana, kuhusu utaratibu unaotumiwa na maofisa wa Manispaa ya
Ilala kuhakiki nyumba zao zitakazobomolewa kufuatia amri ya Serikali.
Mkazi
wa Jangwani, Dotto Ngoyeji akieleza malalamiko yake mbele ya wanan
habari, kwamba Serikali inatakiwa kuata utaraibu kuwatendea haki katika
mchakato huo wa kuhakiki nyumba zao.
Mmoja wa maofisa wa kutoka Manispaa ya Ilala, akiweka alama katika moja ya nyumba eneo la Jangwani.
Mama
mkazi wa Jangwani, Dar es Salaam eneo lililokumbwa na mafuriko hivi
karibuni, akiwa na huzuni baada ya nyumba yake kuwekwa alama ya
kubomolewa na wakati wa mchakato wa kuhakiki nyumba hizo uliokuwa
unafanywa na Maofisa wa Manispaa ya Ilala.Picha Zote na Richard
Mwaikenda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)