Mgeni
rasmi akiwa pamoja na walimu wa shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo
Kikuu cha Dodoma katika sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wa
shahada ya sosholojia ya Chuo Kikuu cha Dodoma iliyofanyika katika
ukumbi wa royal village usiku wa kuamkia leo
Baadhi
ya Wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu
Cha Dodoma Wakiwa na furaha ya sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wa
mwaka wa kwanza wa shahada ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma katika
sherehe iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa royal
village
Wawakilishi
wa Mwaka Wa Kwanza Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma wakiwa mbele kuwawakilisha wenzao wa mwaka wa kwanza katika
sherehe ya kuwakaribisha iliyofanyika katika ukumbi wa royal village
usiku wa kuamkia leo
Muda
wa keki ulipowadia na hiyo ni keki kwaajili ya kuwakaribisha mwaka wa
kwanza ikiwa na maneno ya ukaribisho kama inavyoonekana
Zainabu
Na Musa Wote kutoka Mwaka Wa Kwanza wakijiandaa kukata keki kama ishara
ya upendo na furaha katika sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wa
shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma usiku wa
kuamkia leo katika ukumbi wa royal village
Dada
Zainabu Na Kaka Mussa wote kutoka Mwaka Wa Kwanza Wakikata Keki
kuashiria Ishara ya Furaha na Upendo Katika Sherehe ya kuwakaribisha
mwaka wa kwanza iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Royal Village usiku wa
kuamkia leo
Kaimu
Mkuu Wa Wilaya Ya Dodoma Mjini Na Ambaye alikua Mgeni rasmi wa Sherehe
ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza akimlisha keki Mwanafunzi wa mwaka wa
kwanza wa shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mussa
katika sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa royal village
Kaimu
MKuu Wa Wilaya Ya Dodoma Mjini akilishwa keki na Mwanafunzi wa mwaka wa
kwanza Zainabu katika Sherehe ya kuwakaribisha Mwaka Wa Kwanza wa
Sosholojia wa UDOM
Kaimu
Mkuu wa Wilaya Ya Dodoma Mjini Alipofungua Jukwaa la Muziki tayari kwa
wanazuoni hao kuserebuka huku akicheza na mwanafunzi wa mwaka wa pili wa
sosholojia Alice
Wanafuni wakiserebuka mara baada ya mgeni rasmi kufungua rasmi mziki tayari kwa vijana kuserebuka
Wanafunzi wakiserebuka staili ya kwaito kama wanavyoonekana katika picha ya pamoja
Nikiwa
na Mmoja Wa Wanafunzi Wa Sosholojia Mwaka Wa Tatu Godfrey(wa Kwanza
Kushoto) katika picha ya pamoja ndani ya sherehe ya kuwakaribisha mwaka
wa kwanza.Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)