Wadau wa Lukaza Blog Paul Madaha (wa Kwanza Kulia), Mwajuma Abeid (Katikati) na Bernad Pius Wakijiachia Katika Kamera ya Lukaza Blog wakati wa sherehe ya kuwakaribisha Mwaka Wa Kwanza iliyofanyika Katika Ukumbi wa Royal Village usiku wa kuamkia leo
Kijana Huyu alikutwa na Kamera ya Lukaza Blog akiwa tilalila na kuanza kusakata mayenu bila muziki wakati wa sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika ukumbi wa royal village.
Kama kawaida vijana wakiwa kwenye pozi wakati kamera ilipowamulika wadau hawa kutoka UDOM
Kijana wangu Paschal Minja(Kushoto) na Rafiki yake nae hawakukosa sherehe hiyo muhimu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)