Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa
ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Mh.
Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es
salaam
Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa
Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo
Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete katika maongezi na ujumbe wa kenya unaoongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka
Rais Jakaya kikwete akiulaki ujumbe wa Kenya.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)