Askari wakipita mbele ya jukwaa Kuu na kutoa heshima kwa Raisi.
Askari wakipita na kutoa heshima Jukwaa kuu.
Mmoja Wa Makomandoo Wakionyesha jinsi mateke yanavyorukwa kama inavyoonekana
Askari wa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania akivunjwa matofali kwa ngumi
Makomandoo wakionyesha jinsi ya kumkabili adui kwa kumpiga teke wakati chini kuna kiunzi.Picha Kwa Hisani Ya Sufianimafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)