Wafanyakazi Wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)Walivyoadhimisha Siku Ya Ukimwi Duniani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wafanyakazi Wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)Walivyoadhimisha Siku Ya Ukimwi Duniani

Meneja wa Usalama na Afya wa Kampuni ya Bia Tanzania, Renatus Nyanda, Akiwa pamoja na watoto waathirika wa UKIMWI Alnold na Irene baada ya kuwapatia msaada wa sh 219,000 zilizochangwa na wafanyakazi wa TBL
Meneja wa Kiwanda wa TBL,  Salva Rweyemamu (kulia) akimpatia Ofisa Usalama mahali pa Kazi TBL, Ismail Kalembo zawadi ya simu aina ya Black Berry, baada ya kuwa mmoja wa wafanyakazi wa waliopima kwa hiari virusi vya Ukimwi.
Mama mhamasishaji vita dhidi ya UKIMWI, akimpatia zawadi ya bia mmoja wa wafanyakazi wa TBL
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kushoto), akiwawashia mishumaa wafanyakazi wa kampuni hiyo, wakati wa maadhimisho yaliyofanyika Makao Makuu ya TBL, Dar es Salaam juzi.
Meneja Mauzo wa TBL, John Mgega(kushoto) akimpatia zawadi mfasnyakazi Khadija Maulid ambaye ni mmoja wa wafanyakazi walioamua kwa hiari yao kupima virusi vya ukimwi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwasha mishumaa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O'Flaherty (kulia) akiwasaidia wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwawashia mishumaa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Makao Makuu ya TBL, Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakiwa wamewasha mishumaa ikiwa ni ishara ya kuwakumbuka wote waliokufa kwa UKIMWI
Wanakamati ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, kwa upande wa TBL, wafanyakazi wa TBL, WAKIWA KATIKAPICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAATHIRIKA WA UKIMWI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages