Viongozi Wa Chama cha Wananchi (CUF)Walipotinga Ikulu jana na Kuonana na Rais Jakaya Kikwete - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Viongozi Wa Chama cha Wananchi (CUF)Walipotinga Ikulu jana na Kuonana na Rais Jakaya Kikwete


Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally akikaribishwa ikulu na Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akiukaribisha auongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam leo na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally
 Rais Jakaya Kikwete akipokea Mapendekezo Mbalimbali kutoka kwa uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam leo
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam
 Kiongozi wa Cuf akisoma Muktasari
 Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Salvatory Rweyemamu(kulia)akiwa na Viongozi wengine Waadamizi wa Serikali Kwenye Mkutano wa Rais Jakaya kikwete na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kiwete akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis
Makamu Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis akiagana na Rais Jakaya Kikwete ikulu leo
 Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam
Waziri  wa Nchi ofisi ya Rais Uratibu na mahusiano, Steven Wassira(kulia)akiagana na Viongozi Mbalimbali wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo Muda Mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais Jakaya Kikwete .Picha Zote na IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages