Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya, Enrico Strampeli , wakikata upete kwa
pamoja ikiwa ni ishala ya ufunguzi rasmi wa Barabara ya Nelson Mandela,
uliofanyika leo, Temeke Jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu ni
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na (kulia) kwa Balozi ni Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick.
Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya Enrico Strampeli, akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa sherehe za ufunguzi wa
Barabara ya Nelson Mandela, iliyofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya, Enrico Strampeli, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waliowezesha ujenzi wa Barabara hiyo.
Vijana wa Kikundi cha Temeke wakiimba na kushangilia wakati wa hotuba ya Makamu wa Rais ya ufunguzi wa Barabara hiyo.









No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)