WADAU WA MCHEZO WA NGUMI WASHIRIKI MAZISHI YA BONDIA MOHAMEDI KIDEVU LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WADAU WA MCHEZO WA NGUMI WASHIRIKI MAZISHI YA BONDIA MOHAMEDI KIDEVU LEO


Baadhi ya waombelezaji wakjisghikilia mwisli wa aliyekuwa bondia Mohamedi Kidevu kwa ajili ya kwenda kuzika maeneo cha Chanika leo mchana

Bondia Said Mbelwa
Bondia Said belwa (kulia) akiwasiliana na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi kujua talatibu za mazishi kabla ya kwenda kuzika chanika leo kushoto ni bondia Japhert Kaseba
mwili wa marerhemu ukiwa umewekwa kwenye jeneza
Bondia Japhert Kaseba (kulia) akiwa amebeba jeneza lenye mwili wa aliyekua Bondia Mohamedi Kidevu ambaye alifaliki kwa ajali ya gari juzio usiku maeneo ya Chanika.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages