Mshambuliaji
wa timu ya Manchester City, Samir Nasri, (kushoto) akiambaa na mpira
kumtoka beki wa Arsenal, Johan Djourou, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya
England uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Etihad Manchester.
Manchester
City ilishinda bao 1-0 na kurejea tena kileleni baada ya Manchester
United kuiengua timu hiyo kwa masaa kadhaa leo baada ya kushinda mabao
2-0 dhidi ya QPR, ambapo mabao ya Man U, yaliwekwa kimiani na Rooney na
Michael Carrick.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)