Mkurugenzi
rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Stela Chiwango akimkabidhi mbuzi
mmoja wa watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo
kimara jijini Dares Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and
Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia
mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni
hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni
hiyo.
Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania Mary Natema akiwanywesha juisi baadhi ya watoto
yatima waliohudhulia uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa
inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji
mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom
imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika
kampeni hiyo.
Ofisa
Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania akiongea jambo na
Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Stela Chiwango pamoja na Mkuu wa
kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule wakati wa uzinduzi
wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka
kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea
msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya
shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Mkuu
wa kitengo cha kusaidia jamii cha Vodacom Tanzania”Vodacom
Foundation”Yessaya Mwakifulefule akitwishwa kiroba cha Maharage na
Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa kampuni hiyo Matina Nkurlu
kushoto na Meneja wa akaunti na usajili wa namba za simu Loius
Maro,wakati wa kupakua mizigo hiyo tayari kwa kuwagawia msaada vituo
mbalimbali vya watoto yatima jijini Dares salaam kwenye uzinduzi wa
kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka
kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu
wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya
shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Meneja
wa kitengo cha m pesa kanda ya pwani wa Vodacom Tanzania Nabwike Kibona
akimtayarishia chai Ramadhani Abdalah ambae ni mtoto yatima wa kituo
cha Mwana Orphans Centre cha Vingunguti wakati wa uzinduzi wa kampeni
ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili
ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa
sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi
hamsini katika kampeni hiyo.
Meneja
wa kitengo cha m pesa kanda ya pwani wa Vodacom Tanzania Nabwike Kibona
akiwahudumia watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre cha
Vingunguti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa
inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji
mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom
imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika
kampeni hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwahudumia chakula baadhi ya
watoto yatima wa vituo mbalimbali vya jijini Dares Salaam wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho
wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji mbalimbali watoto yatima
kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa
thamani ya shilingi Milioni hamsini katika kampeni hiyo.
Mtoto yatima wa kituo cha T.H.M.H cha Magomeni jijini Dare Salaam
Rebeca Elias akiwa ameshikilia mbuzi mara baada ya kukabidhiwa na
Mkurugenzi rasilimali watu wa Vodacom Tanzania Stela Chiwango aliemshika
begani na Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa kampuni hiyo Mwamvita
Makamba watatu toka kulia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and
Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia
mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni
hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo
kitengo cha huduma kwa wateja.
Watoto yatima wa kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo kimara
wakibeba msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na wafanyakazi wea
Vodacom Tanzania wakati wa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and
Care ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia
mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni
hamsini katika kampeni hiyo,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo
kitengo cha huduma kwa wateja.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha magari George Madinda,
akipakia baadhi ya misaada mbalimbali kwenye gari tayari kwa kupeleka
kwenye vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares Salaam hapo
jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care ambayo huwa
inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji
mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom
imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika
kampeni hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza pamoja na watoto yatima
wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care hapo jana ambayo huwa
inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia mahitaji
mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya krismas,Vodacom
imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni hamsini katika
kampeni hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari
kuelekea katika vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dares
Salaam mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Share and Care hapo
jana ambayo huwa inafanyika kila mwisho wa mwaka kwa ajili ya kuwasaidia
mahitaji mbalimbali watoto yatima kuelekea msimu wa sikukuu ya
krismas,Vodacom imetoa jumla ya msaada wa thamani ya shilingi Milioni
hamsini katika kampeni hiyo.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)