ALIYEKUWA mtangazaji wa siku nyingi katika vituo vya radio hapa nchini, David Wakati, jana alizikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo watu wengi walihudhuria.
Waadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza.
Jeneza likiwa juu ya kaburi kabla ya kuzikwa.
Mengi akibadilishana mawazo na mmoja wa waombolezaji.
Waziri wa Habari na Michezo Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiwa na mmoja wa wanafamilia.
Shughuli ya kukamilisha uhifadhi wa kaburi ikiendelea.
Mmoja wa wanafamilia akiweka mashada ya mauwa juu ya kaburi.
PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL
PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)