Twanga waelekeza macho Milton Keynes Ijumaa Hii - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Twanga waelekeza macho Milton Keynes Ijumaa Hii

Chalz Baba, Maria na Baby Tall wakiwa kwenye ukumbi wa wa Golden Lounge ndani ya Mji wa Milton Keynes kufanya Promo ya show yao ya Pili katika ukumbi wa Golden Lounge Milton Keynes Ijumaa tarehe 2 desemba 2011

Asanteni, 

Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss jestina Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages