Ripota
wenu Nikiwa tayari kwa Safari ya Kuelekea Morogoro Kwenye Ziara ya Simu
Moja ambayo wanafunzi 22 kutoka UDOM tulikua tunaenda kufanya ziara
Camp Connection iliyopo Morogoro
Vilevile
Safari yetu ilihusisha jinsi ya pili kama wanavyoonekana. Hawa pia Ni
baadhi ya Wanafunzi Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).
Hili
Ni Moja Ya Bwalo Kubwa sana La Camp Connection Morogoro ambapo Swala La
Chakula Hufanyika hapa Na Wageni Ndio Tulikua tunawasili kama
Inavyoonekana kwenye Picha
Wanafunzi Wa Shule za Sekiondari Tofautitofauti Wakitoa Burudani kabla ya Semina Kuanza Mida ya Saa 3 usiku siku ya Jumapili
Moja ya Sheria katika Semina hiyo ilikua hivyo
Hilo ni Jukwaa kuu kabisa lenye theme ya Semina iliyofanyika Jumapili hadi Jumatano ya leo
Baadhi ya Wanafunzi Kutoka Shule mbalimbali za sekondari kutoka Morogoro
na Dodoma wakiwa katika Semina ambapo mada ya semina hiyo ilikua ni
POWER TO STAND
Wanafunzi Kutoka UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara baada ya Kuwasili katika Kambi ya Camp Connection
Mandhari ni Kama yanavyoonekana katika Picha, Hali ya Hewa Nzuri, Sehemu Nzuri sana
Wadau Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja Muda mfupi kabala safari ya Kurudi Dodoma Haijaanza
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)