Airtel yapokea Cheti cha shukurani kwa kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Airtel yapokea Cheti cha shukurani kwa kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop

Afisa Masoko wa Global Publisher, Benjamini Mwanambuu (kushoto) akimkabidhi cheti cha kushiriki na kudhamini Semina ya Umaskini Fullstop, Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde,  cheti hicho cha shukurani kimetolewa kwa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel  kwa kudhamini semina ya umaskini fullstop na burudani ya Muziki iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwenzi Novemba na kuhudhuriwa  na wakazi wengi wa jijini hapo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages