Wengi walilazimika kutembea kwa miguu leo kwani hakuku na gari iliyokuwa ikiruhusiwa kupita katika eneo la Jangwani leo.
Yaani hali ni mbaya sana kwa wakazi wa eneo hili maana mambo ni kama yanavyoonekana pichani hapa.
Helkopta ya Polisi ikiendelea na doria ya kuona kama kuna yeyote anaehitaji msaada kwa wakati huo.
Askari
wa Jeshi la Wananchi wakiwa na mtumbwi wakisaidia kuwaokoa wananchi
ambao wamekubwa na Mafuriko hayo katika eneo la Jangwani jijini Dar.
Hii
ndio hali halisi kwa wakazi wa eneo la Jangwani leo mara baada ya mvua
kubwa kuendelea kunyesha jijini Dar es Salaam leo na kuyafanya makazi ya
wakazi wa eneo hili kuwa namna hii kama zinavyoonyesha picha hizi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)