Taasisi ya Islamic Organization yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar es Salaam Jana - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taasisi ya Islamic Organization yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar es Salaam Jana

a
 Vifaa mbalimbali vikishushwa kwenye gari vilivyotolewa na Taasisi ya Islamic Organization kwa waathirika wa mafuriko
 Baadhi ya watoto walioathirika na mafuriko wakichezea baiskeli ya miguu mitu (GUTA) kwenye kambi iliyopo Mtambani Mtaa wa Punda eneo la Kariakoo Dar es Salaam, wakati Taasisi ya Islamic Organization walipoenda kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa waathirika hao
 Mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya Islamic Organization akipanga vifaa hivyo kabla ya kuvigawa kwa waathirika. Taasisi hiyo imeshatoa kiasi cha Sh Milioni 20 tangu mafuriko yalipotokea

Mmoja wa waathirika wa mafuriko akipika katika Kambi hiyo iliyopo Mtambani Mtaa wa Punda eneo la Kariakoo Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages