Airtel wakabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya MZUKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Airtel wakabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya MZUKA

Afisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania  Jane Matinde (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Samsung Tablet kwa, Edith Mbenna (kulia) ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka
mshindi katika promosheni ya mzuka wa Airtel . katikati yao ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akishuhudia makabithiano hayo  katika ofisi kuu za Airtel,  Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Samsung double line kwa  Ariff Warri (kushoto) ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka
mshindi katika promosheni ya mzuka wa Airtel . katikati yao ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akishuhudia makabithiano hayo, hafla ya makabidhiano iliyofanyika  Airtel

Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania  Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Samsung Galaxy ii kwa sandra Mwasenga (kushoto) ikiwa ni zawadi baada ya
kuibuka mshindi katika promosheni ya mzuka wa Airtel . katikati yao anayeshuhudia makabithiano hayo ni  Jane Matinde Afisa uhusiano wa Airtel,hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo  Airtel
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania  Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Samsung Tablet kwa Pelagia Weiss (kushoto) ikiwa ni zawadi baada ya kuibuka mshindi katika promosheni ya mzuka wa Airtel . katikati  ni  Jane Matinde Afisa uhusiano wa Airtel

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages