Sengondo Mvungi:Vyombo Vya Habari Viliandika Visivyo Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuhusu Shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini(NCCR-MAGEUZI),David Kafulila Alilolipeleka Mahakamani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Sengondo Mvungi:Vyombo Vya Habari Viliandika Visivyo Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuhusu Shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini(NCCR-MAGEUZI),David Kafulila Alilolipeleka Mahakamani

Orodha ya Viongozi waliowahi kuwa wenyeviti wa chama hicho
Orodha ya waliowahi kuwa makatibu wa chama hicho
Mkuu wa Idara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu wa NCCR-Mageuzi, Sengondo Mvungi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo alilalamikia vyombo vya habari kwamba viliandika visivyo uamuzi wa Mahakama Kuu,Kanda ya Dar es Salaam, kuhusu shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alilolipeleka mahakamani kuomba zuio la hatua zilizochukuliwa dhidi yake na chama hicho. Kushoto ni Martine Juju, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho.Picha na Habari na Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages