Hili ni basi la kampuni ya hood lililobeba wanafunzi likiwapeleka Morogoro siku ya jumapili kwaajili ya kuhudhuria semina na camping likiwa limepaki ndani ya barabra ya Dodoma - Morogoro je hii ni sahihi na salama kupaki ndani ya barabara?
Pamoja na Basi la Kwanza Kupaki ndani ya Barabara kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza juu na hili nalo likapaki na kuziba njia ambayo magari yaliyopaki nje ya barabara yanatakiwa kuingia barabara.Basi hili lilizuia lori kuingia barabarani baada ya kuzuia njia,Je hii ni sahihi au ndio sheria zinatupwa kule?
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)