MBANDE, SEHEMU MAHARUFU KWA KUCHOMA NYAMA MKOANI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBANDE, SEHEMU MAHARUFU KWA KUCHOMA NYAMA MKOANI DODOMA

Kwa wasafiri wote ambao hutumia njia ya kati kuelekea mikoa ya Mwanza,Singida, Dodoma na kwingineko sehemu hii huwa ni lazima mabasi yasimame kwaajili ya kupata nyama choma kama panavyoonekana katika picha.
Hapa panaitwa Mbande ndio sehemu kubwa inayosifika kwa kuchoma nyama mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages