SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI

 Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Anga, wakati alipofika kuhudhuria Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani, zilizofanyika jijini Dar es Salaam janateta jambo na
Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu (kulia) akizungumza kwa mahojiano na mwanahabari Paschal Mayala, kuhusu maadhimisho ya sherehe hizo.
 Mkurugenzi wa Utafiti wa Mamlaka ya hewa Dkt. Emmanuel Mpet,a akitoa neno la shukurani katika hafla hiyo.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wakimsikiza waziri wa Uchukuzi Omari Nundu wakati akisoma hotuba yake.
Waziri Nundu, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa Anga. Picha Zote na Mwanakombo Jumaa MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages