Balozi wa Marekani na Balozi wa Ulaya wamtembelea Rais Kikwete Ikulu leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi wa Marekani na Balozi wa Ulaya wamtembelea Rais Kikwete Ikulu leo

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo Ikulu leo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke wakati alipokwenda kumuaga Ikulu leo.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo leo Alhamisi Desemba 8, 2011.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages