RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO


Rashidi Matumla na Maneno Osward WAkipima uzito leo
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya (katikati), akiinua mikono ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni Kijichi, Dar es Salaam siku ya Xmasi.
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya (katikati), akiwashuudia mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye
Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas.Picha Na MHAMILA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages