
Raisi Kikwete akiongea na waathirika wa mafuriko waliopewa hifadhi katika shule ya msingi mchikichini

Raisi Kikwete akiendelea kuongea na Waathirika Wa Mafuriko

Raisi Kikwete akiongozana Na Viongozi Wa Jiji la Dar es Salaam

Raisi Kikwete akisalimiana na Mmoja wa Viongozi wa Serikali za Mitaa Jijini Dar es Salaam

Raisi Kikwete akiongea na Wakazi wa Jangwani alipokwenda kuwatembelea na kuwafariji.

Waathirika Wa Mafuriko Wakimsikiliza Raisi Kikwete wakati alipofika kuwafariji

Raisi Kikwete akikagua moja ya vyumba vya madarasa walipohifadhiwa waathirika wa mafuriko katika shule ya msingi ya mchikichini mbele yake ni mbunge wa ubungo John Mnyika

Waathirika Wa Mafuriko wakimshangilia Raisi Kikwete mara baada ya kuwaahidi misaada na maeneo ya kuhamia

Raisi Kikwete akitoa neno la Pole kwa waathirika wa mafuriko.

Wakazi wa Bonde la Msimbazi Eneo la Jangwani Wakiwa Bado juu ya Paa la Nyumba.Picha Zote Kwa Hisani Ya Michuzi Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)