RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AFUNGUA MSIKITI WA MASJID RASHIDIN, DOLE UNGUJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AFUNGUA MSIKITI WA MASJID RASHIDIN, DOLE UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ALHaj Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Dole Mkoa wa Mjini Magharibi mara baada ya kuufungua msikiti Masjid Rashidin Uliopo Kijijini hapo jana. Picha zote na Ramadhan Othman,IKULU.
  Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Dole Mkoa wa mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar ALHaj Dk Ali Mohamed Shein awakati kizungumza nao na kuwataka kuutunza Msikiti huo alioufungua jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ALHaj Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Viongozi mbali mbali mara baada ya kuufungua msikiti Masjid Rashidin, Dole Mkoa wa Mjini Magharibi ,ambao utachukua waumini 600 kwa wakati mmoja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages