Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Afungua Rasmi Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Afungua Rasmi Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo yaa redio aliyoitumia marehemu mwalimu J.k Nyerere wakati wa uhai wake,kutoka Paulo afisa muhifadi makumbusho ya taifa,wakati wa alipotembela maonesho maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi mtendaji katika Afisi ya Rais wa tanzania Ladius J. Mwamanga,alipotembelea maonesho ya bidhaa za chakula katika banda la Afisi hiyo jana,katika mwendelezo wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia zana za kilimo na kupata maelezo kutoka kwa Afisa ,katika Wizara ya kilimo Chakula na ushirika Linus A. ngowi,baada ya ufunguzi wa maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akiangalia mashine ya kufyatulia matufali wakati alipotembelea maonesho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Mwalimu Julius K.Nyerere Jijini Dar es Salaam jana,katika mabandaya Vikosi vya ulinzi,ikiwa ni miongoni mwa taasisi mbali mbali zilizoshiriki katika maonnesho hayo.Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages