Rais Jakaya Kikwete alipowatunuku Tuzo/Nishani Viongozi Mbalimbali Nchini wakati wa sherehe za miaka 50 ya uhuru juzi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete alipowatunuku Tuzo/Nishani Viongozi Mbalimbali Nchini wakati wa sherehe za miaka 50 ya uhuru juzi

Rais Jakaya Kikwete akimpatia tuzo ya heshima, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
Rais Jakaya Kikwete akimpatia tuzo Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Wiliam Benjamin Mkapa
  Rais Jakaya Kikwete akimpatia tuzo Waziri Mkuu mstaafu,Salim Ahmed Salim

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages