Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba wakati wa halfa ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Tanzania Tawi la Dar es
Salaam. Hafla hiyo ilifanyika leo Desemba 11, 2011 katika Ukumbi wa
Karimjee jijini
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
alilopata nalo ajali Bw. Arif Yusuph, eneo la Mji wa Fiche Kilometa 100
kabla ya kufika Adis Ababa , wakati akitoka Kuhij Makha baada ya
kugongana uso kwa uso na gari aina ya Hice iliyokuwa imebebea Jeneza
ikisafirisha msiba, katika ajali hiyo watu wote walisalimika na kurejea
nyumbani. Makamu wa Rais alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya
kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam iliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam
ya Istiqaama na kufanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
leo Desemba 12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipokea zawadi ya Msaafu kutoka kwa, Sheikh Ahmed Mohamed
Lbadry, baada ya kumaliza hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Tawi la dare s Salaam na kufanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo Desemba 12
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakati akiondoka
kwenye Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam, leo Desemba 12, baada ya
kumaliza shughuli ya hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Tawi la Dar es Salaam
Waumini wakiomba dua baada ya kumalizika hafla hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waumini na viongozi wa
Jumuiya ya Kiislamu ya Istiqaama, baada ya kumalizilika kwa half hiyo
leo Desemba 12. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)