Rais
wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kutembelea Banda la
Wizara ya Fedha hii leo na kuendelea na ziara yake katika mabanda ya
mengine ya Wizara na taasisi mbalimbali zinazoshiriki katika Maonesho ya
Miaka 50 ya Uhuru kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.Maonesho hayo yanataraji kufungwa kesho Desemba 12, 2011 na Waziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda.Picha Na Mroki Mroki.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)