Rais Jakaya
Kikwete akiangalia mikate iliyotengenezwa kwa majiko yenye kutumia kuni
mbadala zitokanazo na mabaki ya mbao wakati alipotembelea banda la
Kampuni ya Envotec kwenye Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru katika Viwanja
vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam jana. Anayemwelezea ni
Mkurugenzi kampuni hiyo, Sylvester Mwambije na katikati ni Waziri wa
Nishati na Madini, Wiliam Ngeleja.
(Picha na Robert Okanda).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)