SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU LONDON UK - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU LONDON UK

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi PETER KALLAGHE katikati akiwakaribisha wanamuziki wa Tanzania,Ally Kiba kutoka kushoto Diamond na Profesa Jay kulia , wanamuziki hao wapo nchini Uingereza katika ziara ya kimuziki. WATU WA COVENTRY , LEICESTER NA MILTON KEYNES MKAE MKAO WA KULA VIJANA WANA KUJA KUFANYA MAMBO HUKO
Kaka Diamond nae alifunika bovu kwa staili zake za kucheza.
Ally Kiba akitumbuiza
Profesa Jay hayupo pichani mashabiki walimzimia kwa mashahiri yake kama wanavyoonekana katika picha wakifuatilia onyesho hilo.
Palikuwepo na onyesho la ngoma na minenguo ya ki Tanzania kama wanavyoonekana katika picha wasanii hawa wakicheza ngoma za asili za Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages